Kampuni ya Maji na Usafi wa Mazingira Gusii (GWASCO) inawatakia wateja wetu na wadau wote Eid al-Adha yenye furaha na amani.
Tunawatakia baraka tele katika siku hii takatifu ya sadaka na ukarimu.
Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kushirikiana nasi.
